Kurecover password yako waweza waona watu wafuatao;-
1.Mkuu wa shule
2.Wakuu wa shule wasaidizi
3.Academic Master's
Au
Wasiliana na System Admin kwa kumtumia Message yenye taarifa zifuatazo;-
1.Namba yako ya usajiri (username)
2.Majina yako (kwa waalimu), Majina ya mwanafunzi (kwa wazazi)
3.Jina la shule
kwenda namba 0686 343 100
Baada ya kufanya hivyo utatakiwa kusubilia ndani ya saa 24 na utatumiwa password mpywa kupitia namba yako ambayo imetuzwa kwenye mfumo.